Nani Anafaa Kuwa Captain Mpya Wa Simba Sc!?
Je, nanii anastahili kuwa nahodha mpya wa Simba? “Mara zote huwa nawaachia wachezaji wangu wamchague nahodha wao, sikupenda kilichofanyika msimu uliopita, msimu huu nitachagua nahodha mimi mwenyewe,” kauli ya kocha…
WAPINZANI WA YANGA AWAONEKANI.
Klabu ya soka ya Yanga imesema wapinzani wao bado hawajawasili nchini licha ya kupewa taarifa kuwa walitakiwa kuwasili alfajiri ya kuamkia leo“Mpaka sasa hatujawaona MC Alger na sisi kama klabu…