Klabu ya soka ya Yanga imesema wapinzani wao bado hawajawasili nchini licha ya kupewa taarifa kuwa walitakiwa kuwasili alfajiri ya kuamkia leo“Mpaka sasa hatujawaona MC Alger na sisi kama klabu tulifanya wajibu wetu lakini hawakutokea, tukipata taarifa rasmi basi tutawajuza.
Kimsingi tunahitaji kuwaona uwanjani jumamosi mengine hayatuhusuUkweli ni kwamba hii mechi sio rahisi ni mechi ngumu mno, nafikiri mnaona wanavyofanya ujanja ujanja wanakuja kwa mafungu mafungu.
Wamedhamiria kuja kupata alama. ’’ 🎙️Ally Kamwe Meneja wa habari Yanga SC