Nani Anafaa Kuwa Captain Mpya Wa Simba Sc!?
Je, nanii anastahili kuwa nahodha mpya wa Simba? “Mara zote huwa nawaachia wachezaji wangu wamchague nahodha wao, sikupenda kilichofanyika msimu uliopita, msimu huu nitachagua nahodha mimi mwenyewe,” kauli ya kocha…